Jumanne, 11 Juni 20130 comments

Watu wengi katika ulimwengu wa sasa wa Sayansi na Technologia wamekuwa wakiathirika na magonjwa mbalimbali kutokana na ulaji mbaya wa vyakula vyenye madawa hususani Kuku wa kukuza kwa madawa. Lakini Madaktari wamekuwa wakiwashauri watu kula kuku wa kienyeji ili kulinda Afya zao. Bena Quality Chicks ni Kampuni ya wajasiriamali wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ambao wamedhamiria kuondoa tatizo la ulaji wa kuku wa kukuza kwa madawa nchini Tanzania lengo ikiwa ni kuwawezesha Watanzania kula nyama ya kuku wa kienyeji.


Ufugaji wa kuku unahitaji Mabanda ya kisasa kama hili.
kifaa cha kuangulia vifaranga vya kuku (INCUBATOR)
Kwa ushauri na utaalamu wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ni Bena chicks Quality, Tupo tayari kushirikiana na wewe/ninyi kwa mahitaji ya kuku, mayai, mayai ya kuangulia, na ushauri. Pia tuna mabanda ya kisasa ya ghorofa ya kufugia vifaranga.


Incubator
Hii ni mashine ya kisasa kabisa ya kuangulia vifaranga vya kuku, Kwa mahitaji yako ya mashine hii tafadhali wasiliana nasi kwa simu kwenye kurasa ya mawasiliano.
Share this article :

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013. KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Template Created by KIJANA WA LEO Published by TITUS KAPOMA
Proudly powered by Blogger