Kwa mahitaji yoyote ya kuku wa kienyeji wasiliana nasi kwa kutumia simu zetu au E mail. Pia Tupo tayari kukusaidia kwa ushauri wowote wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa madhumuni ya kuendeleza ufugaji bora wa kuku wa kienyeji nchini Tanzania.
Sifa za kuku Rhode Island
Kuku aina ya Rhode Island Red/Mfalme/Kuchi ni kuku wenye uwezo na sifa nzuri ya utagaji wa Mayai mengi, Pia kuku hawa kwa kawaida hawashambuliwi na magonjwa sana kama walivyo kuku wengine.
Chapisha Maoni