Bata Mzinga Jike huyu kwa kiumbo huwa ni mdogo kiasi lakini anatoa mayai mengi na mazuri na pia nyama yake huwa ni laini ukilinganisha na bata mzinga dume.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi ili upate ushauri na ufugaji bora wa ndege,na wanyama aina zote
Chapisha Maoni