Jumatano, 12 Juni 20130 comments

KCC INAKUKARIBISHA KUPATA HUDUMA BORA HIZI ZIFUATAZO


KIMISHA WA KCC AKIWA KWENYE OFISI YA BIMA MAILI MOJA  KATIKA JENGO LA  MZEE SOLANKI AMBAMO IMO OFISI YA KCC 
 KIMISHA WA KCC AKITENGENEZA COMPUTER ZA WATEJA BAADA YA KUWA ZIMEHARIBIKA {SOFTWARE & HARDWARE}

 USAFI NI MUHIMU SANA MAENEO YA OFISI NA HATA NJE YA OFISI KIMISHA WA KCC AKISAFISHA NA KUPINGUZA NYASI KTKA OFISI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA

 MR AMANI WA KCC AKIELEKEA KCC KUWAJIBIKA {KAZINI}





Share this article :

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013. KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Template Created by KIJANA WA LEO Published by TITUS KAPOMA
Proudly powered by Blogger