Jumatano, 22 Mei 20130 comments

ABILIA WAKITAKA KUMPIGA NA KUMUUMIZA VIBAYA TRAFIKI BAADA YA TUKIO ALILOLIFANYA LA KUMSIMAMISHA DEREVA GHAFLA BAADA YA KUWA AMEJIFICHA KWENYE KICHAKA NA KUMUAMBIA DEREVA  ATOE FAINI KWANI AMEMPIGA KITOCHI

 BI SHARIFE BINTI ABEID LABDI AKIWA NA BIBI YAKE MZAA BABA MZAZI 
 {MKE WA MR KIMISHA} WA KCC
 NDUGU ZETU MLIOPO MIKOANI {MIJINI }TAFADHALI MSISAHAU KWENU MLIKOTOKA 
JE WAKUMBUKA WAPI UKIONA PICHA HII MI NAKUMBUKA KWETU TUTUO SIKONGE TABORA {KARIBU ULE MRENDA,NSWARU,KISANVU,MSUSA NA MATOBORWA}
 MASHAALLAH MTOTO HUANZA KUANDALIWA AKIWA BADO MDOGO
 KARIBUNDUGU?!!!  UKWENI KUNA RAHA BWANA  BAADA YA KULA KUKU NA MBUZI  
UNAFANYA USAFI KIDOGO JAPO UMETOKA DAR  SHIKA JEMBE KAMA ALIVYOFANYA MR KIMISHA ALIPOENDA KUONA JIKO LAKE {MKE}  NZEGA  TABORA 
 NJONI MNISAIDIE JAMANI NIMECHOKA



 MASHAALLAH MY FRST BORN 
 UCHIMBAJI DAWA NJIANI NI HATARI MNO KI AFYA NA HATA KUACHWA POLINI
 ABILIA WA KI MAASAI AKICHIMBA DAWA NYUMA YA GARI ALIPO ULIZWA KWANINI HAENDI MBALI AKAJIBU "AH! RAFIKI NATAKA GARI NIACHE  NATAKA NIFIKE DASALAMA SSIIJUI IPO WAPI"
 ABILIA WAKIZIBA PANCHA BAADA YA GARI LAO KUHARIBIKA 
 ABILIA AKISUBILIWA BAADA YA KUACHWA AKIWA ANACHIMBA DAWA

Share this article :

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013. KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Template Created by KIJANA WA LEO Published by TITUS KAPOMA
Proudly powered by Blogger