MZEE AL-HAJI SHAABANI KALILI AKIPATA NYAMA {SUPU} BAADA YA AROBAINI YA MJUKUU WAKE
VIJANA WA MADRASA WAKITEKELEZA AKIKA KAMA ILIVYOFUNDISHWA NA UISLAMU KUWA MTOTO WA KIUME ACHINJIWE MBUZI 2 NA WAKIKE ACHINJIWE MBUZI MMOJA KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU AKIKA PIGA 0714 474941 0782 474941
MASHAALLAH VIJANA WAKINYWA MAZIWA ,SUPU NA MAANDAZI BAADA YA KUMUOMBEA DUA KIJANA MWENZAO ALLAH AMKUZE VYEMA INSHAALLAH
AKINA BIBI WAKIWA NA FURAHA KUBWA BAADA YA AKIKA
MASHAALLAH ADNANI HUYO AKIWA AMEPAKATWA NA MAMA YAKE
AL-HAJI MZEE SHAABANI KALILI NA NDUGUYE
USICHEZEE SHIBE CHEZEA NJAA WATU HOI BAADA YA DUA
MR KIIMISHA WA KCC AKIWA NA MJOMBA WAKE BAADA YA DUA {AKIKA}
NJOO UJISEVIE MWENYEWE
YOUR WELCOME
Chapisha Maoni