skip to main |
skip to sidebar
NINI CHA KUFANYA ILI SHEREHE YAKO IWEZE KUFANA?????
{KCC} WANALO JIBU LAKO 0782 474941 0767 474941
www.kcckibaha.blogspot.com
kcckimisha3@gmail.com
taborakanyenye@gmail.com
MARA NYINGI WATU WENGI WAMEKUWA NA MATOKEO YASIYO WAFURAHISHA MARA BAADA
YA HAFLA ZAO FLANI FLANI NA HASA HARUSI NA SEND OFF, KUMEKUWA NA
MWINGILIANO WA MAJUKUMU WA NAMNA YA KUPLAN SHEREHE HIZO KIASI AMBACHO
WALE WALENGWA WAMEJIKUTA WAKIKUBARI MATOKEO TU NA KUACHA BORA LIENDE.
CHANGAMOTO KUBWA IMEKUWA UPANDE WA MAANDALIZI YA SHUGHULI HIZO NA
MGAWANYIKO WA MAJUKUMU, KWA MFANO NANI ANAPASWA KUSIMAMIA NINI AU NANI
ANAPASWA KUFANYA NINI! YEPI NI MAJUKUMU YA KAMATI NA YEPI NI MAJUKUMU YA
BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI.
SHEREHE ILI IFANE YAPASWA KUZINGATIA NAMNA YA MGAWANYIKO WA MAJUKUMU KATI YA WANAKAMATI NA WAHUSIKA WAKUU WA HAFLA HUSIKA.
KWA MFANO WAHUSIKA WAKUU YAANI BWANA HARUSI MTARAJIWA NA BIBI HARUSI
WANAWEZA WAKAAMUA KUWA TUWE NA WATU 100 PENGINE KATIKA HARUSI YETU MFUMO
WA KIMAJUKUMU WA WANAKAMATI UKAPINGANA NA HILO NA WAHUSIKA WAKUU HAWA
WAKAJIKUTA WANAFUATA MAWAZO YA WATU WENGINE NA MWISHO WA SIKU
KUKOSEKANIKA KWA USAWA NA STANDARD YA SHUGHULI KUTOFIKIA VIWANGO VYA
MPANGO WALIOKUWA NAO WAHUSIKA.
HIVYO NI VYEMA KUWA NA NAFASI YA KUELEZA MAHITAJI YA WAHUSIKA KATIKA
KIKAO CHA KWANZA KABISA ILI KUWA NA USAWA NA KULINDA NDOTO NA MATARAJIO
YA WAHUSIKA WAKUU KATIKA HAFLA HUSIKA.
TUTAKUSAIDIA KUPANGA BADGET YA
WAGENI WAKO PIA KUANDAA MAVAZI YA BWANA&BIBI HARUSI
PIA KUANDAAA SALE ZA HARUSI KAMA VILE MADILA N.K WASILIANA NASI KWA NAMBA ZETU HAPO JUU KWA MAELEZO ZAIDI AMA FIKA OFISINI KWETU TABORA MJINI OPP NA STENDI MPYA YA MABASI PIA TUPO SHINYANGA MBELE YA UWANJA WA SABASABA BARABARA YA KAMBARAGE JIRANI NA STUDIO
Copyright © 2013.
KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Chapisha Maoni