Jumamosi, 15 Juni 20130 comments





Ufugaji Kuku … picha ya banda


Wadau wa ufugaji kuku, kutokana na majadiliano yanayoendelea chini ya makala ya Kuku wa Amadori katika blogu hii, tutaanza kuwaletea picha mbalimbali zinazohusiana na kazi hii ya ufugaji kuku. Tunamshukuru sana. Wengine pia mnakaribishwa kutuma picha zinazohusiana na kazi hii. Ni moja ya njia muhimu za kujifunza na kufundishana … kubadilishana uzoefu, maarifa na vilevile kujijengea ‘kamtandao’ fulani ka watu wenye interest zinazofanana. Karibuni sana.


Share this article :

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013. KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Template Created by KIJANA WA LEO Published by TITUS KAPOMA
Proudly powered by Blogger