UFUGAJI BORA NA RAHISI WA KUKU WA KIENYEJI
Kuna usemi fu
lani unatumiwa na watu wengi
sana,
unasema;
“kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” .
Hata mimi
nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi
mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya
k
ipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk. Kwa kuwa tunatamani sana kutoka katika kongwa hili la
umasikini wa kipato na hali mbaya ya maisha, tunalazimika kufanya jukumu letu kuu la kumuomba sana Mungu ili atuwezeshe
kujua na kufahamu m
binu mbalimbali kisha kujifunza na kufahamu kwa makini tena kwa njia rahisi mno za kututoa katika hali hii ya
umaskini uliokithiri.
Ikumbukwe kwamba, kujifunza kwa msisimko tu bila ya kuyaingiza mambo hayo uliyojifunza katika mazoezi na vitendo vya
makusu
di maishani mwetu ni wazi kwamba hayatatusaidia, bali yatabaki vichwani mwetu kama hadithi tu za
alfulelaulela
na maisha
ya kubahatisha maarufu
kama
akadabraakadabra
. Hivyo tumuombe
sana
Mungu wetu ili mafundisho haya yaweze kubadili maisha
yetu kwa uchumi
bora na endelevu ili tuweze kupata kipato na kurudishia Mungu zaka na sadaka badala ya kukaa kulalamika kuwa
hatuna cha mkurudishia muumba wetu YEHOVA.
Kama
ilivyo chunvi ya dunia, ufugaji pia huhitaji upendo, uvumilivu, karama, utu na maombi ya dhati amba
yo yatazaa namna nzuri
ya kuipenda kwa dhati ya moyo wako kazi hii ya ufugaji. Vinginevyo utabakia kuwa mtu wa kujaribu na kuishia kushindwa kila
mara. Kama ilivyo kanuni ya maendeleo yoyote yale, ufugaji wa kuku pia huhitaji;
Ubunifu, utundu wa akili, kuj
aribu bila kukata
tamaa, kugundua, kujifunza, kufanyia kazi mawazo yaa wengine, kusoma vitabu na majarida mbalimbali yahusuyo kazi
yako, kujishughulisha nk.
Hata ukifundishwa darasani huwezi kufundishwa vyote na mwalimu wako, vingine itakubidi utafute
maha
li pengine kwa ubunifu mkubwa, ugunduzi na mambo mengine mengi ili ufanikishe lengo la kupata elimu bora ya kile
unachokitaka. Hii huhusisha akili yako vema katika kujifunza kutoka kwa watu au vitu vingine nk. Lakini
mafanikio zaidi
yatapatikana pale utaka
pokuwa katika utendaji zaidi.
UFUGAJI WA KUKU WATANO (5) WA KIENYEJI UPATE KUKU MIA MBILI (200) KWA MIEZI SITA (6) TU!
(Kuku 200 x 5,000 = 1,000,000)
Unaweza ukaniona
kama
mimi ni kichaa na ninaye ota ndoto za mchana ambazo hazina mafanikio wala tija maana nadharia hii
inaweza isiwaingie vizuri watu vichwani mwao. Watu wengi wamekuwa wakisema na kushauri hata kushauriwa hata na wale
wasiofaa. Ninaamini wengi wetu hawapendi
kuamini kile wanachoambiwa hadi pale watakapoona kwa macho
yao
ndipo waamini
(
akina Tomaso
).
Sikia nikuambie!
kama
huamini haraka kitu chochote hebu usimkatishe tamaa yule aliyekwambia habari hizo za
kukatisha tamaa, badala yake jaribu kupeleleza na kufuat
atilia hatua kwa hatua tena kwa makini maelezo uliyopewa, kisha yaweke
katika utendaji (tenda/fanya) kwa ufanisi kisha subiri matokeo. Baada ya kupata matokeo sasa unaweza kwenda mbele kidogo
ukauliza/kusoma/kujifunza zaidi ili kuona
kama
kuna mahali umeko
sea au hukuzingatia kanuni na maelekezo uliyopewa. Baada ya
kupata maelezo ya ziada hebu rudia kufanya tena kwa
kuboresha
kupitia maelekezo ya awali na hayo mapya uliyopata yote kwa
pamoja ili upime matokeo yake. Hapo sasa utakuwa upo kwenye haki ya kuamin
i au kutoamini kwamba jambo
hilo
ni kweli au siyo
kweli na siyo kutaa tu kwa ubishi usiokuwa na maana yeyote. Kwa kufanya hivi hakika utapiga hatua mbele katika kuboresha
maisha yako ya sasa na ya baadae. Ila
ukifanikiwa usije ukamkufuru Mungu aliyekuwezes
ha.
Hebu anza na kuku Watano (5)
tu Majike wenye Rika/Umri mmoja (au wanaokaribiana). Watunze vizuri kwa kuwapatia chakula
kilicho na mchanganyiko kamili wa viini lishe vinavyotakiwa katika mwili wa kuku, yaani;
wanga, protini, calcium, chumvichumvi,
madin
i joto nk
(kama
nilivyoeleza hapa chini)
.
Wawekee na Jogoo mmoja mzuri wa kienyeji/kizungu/chotara (kama
nilivyoeleza
hapa chini juu ya uchaguzi wa majogoo).
Wanapoanza kutaga watayarishie mahali pazuri/Kiota kizuri cha kutagia na kuatamia kwa kuwajengea
viota ndani ya banda.
Hakikisha mahali hapo hapavuji wala hapapati unyevunyevu wala joto kali
sana. Hakikisha mahali hapo pana usalama wa kutosha
(mahali wanyama hatari
kama
vicheche, pakashume, nyoka nk hawawezi kufika).
Kuku wakiendelea kutaga na sasa u
kaona wanakaribia kuatamia,Anza kuchagua aina ya mayai unayotaka kuku wako walalie. Hii
inamaanisha kuwa; ukichagua
mayai makubwamakubwa hayo yanakuwa na vifaranga majogoo na mayai madogomadogo
mara nyingi huwa ni ya vifaranga majike.
Acha kuwawekea mayai
ya mviringokama
mpira!
Hakikisha kuku wote wanasubiriana ili walalie/waatamie kwa pamoja.
Weka mayai 12 hadi 15 kwa kila kiota cha kuku 1 kulingana na umbo la kuku wako. Kuku anaweza kutaga hadi mayai 30 kwa kila
msimu wa kutaga unapofika. Unaweza kutum
ia mayai machache kati ya 30 kwa kumuatamishia kuku wako huku mayai mengine
yakisubiri awamu ya pili ya kuatamiwa.Kwa mfano ukiwawekea kuku wako hao watano,
Kuku
5 x Mayai 12 = Mayai 60.
Kwa kawaida kuku huatamia/hulalia mayai kwa siku 19 hadi 21/24 tu h
adi anapototoa vifaranga. Hakikisha unawawekea kuku
walioatamia chakula chenye viini lishe vya kutosha na maji mengi karibu na viota vyao ili wakitoka kwenye viota vyao wale cha
kula
mara moja na kunywa maji kisha warudi haraka kwenye mayai
yao. Hii itasaid
ia kuangua mayai yote 12/15 bila kuharibu yai hata
moja. Au hata yakiharikbika basi hayataharibika mengi kama ukiacha kuwawekea chakula waende kufukuzana na panzi na vyakula
majalalani huko nje na kuchelewa kurudi kwenye mayaiyao.
Wakati ukisubiria siku h
izo 21/24 anza kujenga kibanda kidogo ndani ya banda kubwa ulilojenga awali au jikoni au andaa boksi
kubwa na gumu kwaajili ya kutunzia vifaranga watakaoanguliwa ndani ya siku 21/24 zijazo.
Baada ya kuku hao 5
kuangua vifaranga wako 60
hapo ndipo kazi kubw
a ya kulea vifaranga inapoanza. Elewa kuwa ili upate
mafanikio haraka hakikisha kuwa kazi ya kulea vifaranga inakuwa yako na siyo ya kuku!
Kwanza,
Unatakiwa kuondoa na kuchoma
moto/kufukia mabaki yote ya mayai na kuboresha usafi wa banda lote ili kuepusha m
agonjwa
kama
vile kuharisha, viroboto, papasi
nk. Hapo unaweza kuwatoa vifaranga wako wote 60 mmojammoja kadri wanavyoanguliwa hadi kufikia kifaranga wa mwisho,
yaani
Yule wa 60
na kuwaweka katika kibanda kidogo/boksi ulichokijenga na kuwawekea mayai mengi
ne mama zao (yale 15/18
kati ya 30 uliyoyabakiza) ili waatamie tena kwa siku 21 hadi 24 zingine. Unapotoa kifaranga kutoka kwa kuku aliyeatamia humfa
nya
kuku Yule ashindwe kutoka kwenye mayai maana hana mtoto wa kulea.
Akimaliza kuangua mayai yote na uka
muwekea mengine ni rahisi kwake kuendelea kuatamia maana atasubiri kupata vifaranga na
ndipo atajikuta amelalia kwa siku 21 zingine bila wasiwasi. Kwa kufanya hivyo utakuwa tayari umejipatia
vifaranga/kuku
zaidi
ya
100 ndani ya
wiki 7 tu!
Sasa Unatakiwa kuw
ajali
sana
kuku hawa wanaolalia kwa mara ya pili kwa kuwapa
chakula cha
kutosha, maji, majani ya makongwe, mchicha, mchunga nk
ili wapate vitamini na madini mengine muhimu kwa afya zao. Fanya
hivyo hata watakapokuwa wametotoa na ukawanyang’anya vifaranga.
Hii itawasaidia ili wasinyonyoke
sana
manyoya maana kuku
wengi hunyonyoka manyoya wanapoatamia. Kwa kufanya hivi, kuku wako watakaa kwa wiki 2 hadi 3 bila vifaranga na kisha
wataanza kutaga tena na kuatamiakama
mwanzo.
Vifaranga
wako hakikisha unawatengen
ezea chumba chao kido ndani ya banda kubwa/jikoni, kisha wawekee chanzo chochote
cha joto
kama
vile;
ili wasiathiriwe na baridi hasa wakati wa usiku.
Umakini
mkubwa
sana
unatakiwa hapa!
Hakikisha unakuwa makin
i wakati wa usiku ili kuongeza na kupunguza joto ndani ya kibanda cha
vifaranga maana wakati huu maranyingi joto hupungua na ubaridi huongezeka na hivyo unaweza kuua vifaranga wako.
NAMNA YA KULEA VIFARANGA.
Chapisha Maoni