Mti huu ni wa kupendeza sana ukiuona kwa karibu kwani unamatawi malaini na yanatereza, vito zake ni nyeupe sana kama karatasi ya kuandikia,unapatikana kwetu tabora na kigoma na baadhi ya maeneo nchini tanzania cha ajabu watu wa huko hawajui matumizi yake
Chapisha Maoni