Jumatano, 22 Mei 20130 comments


VIJANA TUNGEKUWA KAMA HIVI INGEPENDEZA SANA



 HAWA NI VIJANA WA KIBAHA MAILI MOJA AMBAO WAO KAMA WAO WALIAMUA KUREKEBISHA BARABARA YA ENEO LAO AMBALO LILIKUWA KATIKA HALI MBAYA NA ENEO HILO LIMESABABISHA AJALI ZA MARA KWA MARA KITU AMBACHO KILIKUWA HATARI KWA WAENDESHA PIKIPIKI
HUYO NI DEREVA AMBAYE ALIKATAA KUCHANGIA KUCHANGIA FEDHA KIDOGO KWAAJILI YA MALEKEBISHO KATIKA UKARABATI HUO AKIWA ANABADILISHA NJIA NYINGINE YA KUPITA







 HAO HAPO JUU NI WAENDESHA PIKIKI WAKIWA WANACHANGIA SHILINGI MIA MBILI KWAAJILI YA UKARABATI WA BARABARA AMBAYO INASABABISHA AJALI MARA NYINGI
WAENDESHA PIKIPIKI WAKIPITA KWA AMANI KATIKA BARABARA ILIYO LEKEBISHWA NA VIJANA WA MTAA WA TANGINI KIBAHA MAILI MOJA
Share this article :

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013. KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Template Created by KIJANA WA LEO Published by TITUS KAPOMA
Proudly powered by Blogger