Jumatano, 15 Mei 20130 comments

KIGOMA AREA VIA KASURU KIBONDO 
 WASAFIRI WALIOKWAMA BAADA YA KUHARIBIKA GARI LAO WALILOKUWA WAKISAFIRI KUTOKA KASURU KUELEKEA KIGOMA MJINI PICHA NA MWANDISHI WETU :MR KIMISHA WA KCC{ KIBAHA COMMUNICATION CENTRE}

WASAFIRI WA MJI WAKISAFIRI KWA USAFIRI AINA YA BOTI WAKITOKE ENEO LA KIBIRIZI {KIGOMA} WAKIELEKEA MWAMGONGO {KIGOMA} ZIWA TANGANYIKA

MR KIMISHA IN LAKE TANGANYIKA AGENT OF SOLAR OF S2DEV

ABIRIA WAKIMUHOJI MR KIMISHA KUHUSIANA NA SOLA ZA MAJUMBANI 

ZINAZOWEZA KUWASHA TAA 3 NA KUCHAJI SIMU {SOLAR KIT}



WASAFIRI TUKIPATIWA JACKET BOYA ILI KUJIKINGA NA AJALI IKITOKEA WASIZAME

MR KIMISHA AKIWA AMEVAA BOYA NDANI YA BOTI KUELEKEA BURUNDI RUMONGR KUUZA NA KUSAMBAZA SOLA  ZA AINA MBALIMBALI NA VIFAA VYA STATIONARY
MAANDALIZI YA SAFARI KUELEKEA  KIJIJI CHA MWAMGONGO
MR KIMISHA  WA KCC {KIBAHA COMMUNICATION CENTRE AKIELEKEZWA NAMNA YA  KUVAA BOYA ILI KUJIHAMI NA AJALI ENDAPO IKITOKEA
ABIRIA AKIWEMO MWALIMU MKUU WA SHULE YA KIZIBA WAKIMUULIZA MASWALI MASWALI  NA KUPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA MR KIMISHA KUHUSIANA NA MATUMIZI YA SOLA
WAFANYABIASHARA WAKIUZA BIDHAA ZAO KWA WASAFIRI
SAFARI ILIANZA SALAMA KUELEKEA MWAMGONGO KATIKA ZIWA TANGANYIKA MKOANI KIGOMA

Share this article :

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013. KCC KIBAHA - All Rights Reserved
Template Created by KIJANA WA LEO Published by TITUS KAPOMA
Proudly powered by Blogger